コンテンツへスキップ

Kikoba Plus

iPhone, iPad, iPod touch向けに設計

無料

App Storeで入手
  • 対象年齢4+
  • カテゴリビジネス
  • 開発元MAGIGE CHARLES WESALILO
  • 言語英語
  • サイズ43.5 MB

App Storeの公式ページにリンクしています

Download.orgはKikoba Plusのファイルを一切ホストしていません。ボタンを押すと、MAGIGE CHARLES WESALILOが公開しているApp Storeのアプリページが開きます。ページの最終確認:2026/11/17。

スクリーンショット

  • Kikoba Plusのスクリーンショット 1
  • Kikoba Plusのスクリーンショット 2
  • Kikoba Plusのスクリーンショット 3
  • Kikoba Plusのスクリーンショット 4
  • Kikoba Plusのスクリーンショット 5
  • Kikoba Plusのスクリーンショット 6
  • Kikoba Plusのスクリーンショット 7
  • Kikoba Plusのスクリーンショット 8

概要

開発元はこのテキストをお使いの言語で提供していません。

Vicoba Plus ni programu ya usimamizi wa vikundi vya kuweka na kukopa (VICOBA) na mikopo binafsi, iliyoundwa mahususi kwa Tanzania.

Inafanya kazi hata bila intaneti — data yote inahifadhiwa kwenye kifaa chako, na inasawazishwa na seva mara tu unapopata mtandao. Hakuna kukwama kwenye mkutano wa kikundi kijijini bila intaneti.

Kwa viongozi wa VICOBA:
• Sajili wanachama, hisa, na mizunguko ya michango ya mwaka
• Rekodi michango ya kila mwezi na ufuatilie wanachama waliochelewa
• Toa mikopo, fuatilia riba, na rekodi marejesho — mfumo hugawa malipo kiotomatiki kati ya deni kuu na riba
• Rekodi faini za kuchelewa au kukosa mkutano
• Andika mikutano na mahudhurio
• Fanya mgawanyo wa faida mwishoni mwa mzunguko

Kwa wakopeshaji binafsi (Mkopo Binafsi):
• Simamia wateja na mikopo yao bila mzunguko wa hisa/michango
• Fuatilia malipo na riba kwa urahisi

Vipengele vingine:
• Akaunti ya mwanachama — kila mwanachama anaweza kuona historia yake ya michango, mikopo na faini
• Thibitisho la kibayometriki (alama ya kidole/uso) kwa ajili ya kusaini mikataba ya mikopo
• Ujumbe wa SMS kwa wanachama moja kwa moja kutoka kwenye programu
• Uhamishaji wa data (ripoti/nakala rudufu)
• Akaunti moja inaweza kusimamia vikundi vingi tofauti

Vicoba Plus imejengwa kwa lugha ya Kiswahili, kwa ajili ya vikundi vya kuweka na kukopa na wakopeshaji binafsi wa Tanzania.

新機能

バージョン 2.0.1 (21) · 2026/11/15

Vicoba Plus 2.0

REMINDERS ZA MALIPO KWA SMS
Weka idadi ya siku kwenye Mipangilio ya kikundi. Wanachama ambao hawajalipa hisa, michango, mkopo au faini watapokea SMS ya kuwakumbusha, automatically. SMS are sent only when you have SMS credits.

KUMBUKUMBU ZA SMS
See every SMS the group sent: imetumwa, imeshindwa, au salio halikutosha.

ALIKA WANACHAMA
Tuma SMS kwa kila mwanachama yenye link ya app na nenosiri la muda. Track who has been invited and who has joined.

VIONGOZI WANASIMAMIA, WANACHAMA WANAONA
Only the group creator, Mwenyekiti, Katibu and Mhazini can add or change records. Wanachama wengine wanaona taarifa za kikundi chao tu.

KUUNDA KIKUNDI KWA URAHISI
Add leaders and members while creating a group, moja kwa moja kutoka contacts za simu yako. A member who is not in any group can now start their own.

MALIPO YA M-KOBA
Paste M-Koba payment SMS and record hisa, michango, marejesho au faini in seconds.

VUNJA KIKUNDI
End-of-cycle share-out: kila mwanachama anaona atakachopata na jinsi kilivyohesabiwa. Close the cycle and start a new one.

HARUSI NA MSIBA
Rekodi msaada wa harusi na msiba, from the welfare fund or from group funds.

RIPOTI ZA FEDHA
Balance Sheet, Mapato na Matumizi, Matumizi na Fedha na salio la kuanzia. Share reports as PDF or Excel.

Rekodi zako zote za zamani zinabaki. All your existing records carry over automatically.

アプリのプライバシー

このアプリのデータの取り扱いについて、MAGIGE CHARLES WESALILOがApp Storeで申告している内容です。

  • データの収集なし

    開発元はこのアプリからデータを収集しません。

プライバシーの取り扱いは、ご利用の機能やお客様の年齢などに応じて異なる場合があります。

情報

販売元
MAGIGE CHARLES WESALILO
カテゴリ
ビジネス
バージョン
2.0.1 (21)
更新日
2026/11/15
リリース
2026/7/16
サイズ
43.5 MB
必要条件
iOS 15.0以降
対象年齢
4+
価格
無料
言語
英語
著作権
© WesanDev