- 対象年齢4+
- カテゴリショッピング
- 開発元Olorok Enterprises Limited
- 言語英語
- サイズ42.3 MB
App Storeの公式ページにリンクしています
Download.orgはNJIIMNETのファイルを一切ホストしていません。ボタンを押すと、Olorok Enterprises Limitedが公開しているApp Storeのアプリページが開きます。ページの最終確認:2026/11/23。
概要
開発元はこのテキストをお使いの言語で提供していません。
Kwa miaka mingi, kununua au kuuza gari kumekuwa na changamoto. Bei zisizo wazi, ada zisizotarajiwa, na maamuzi makubwa bila taarifa kamili. Tumekutengenezea njia rahisi zaidi.
Kama unataka kununua au kuagiza gari, NJIIMNET inakusaidia ku-:
- Jua bei halisi ya gari kuendana na mwenendo wa soko
- Nunua kwa bei ya haki
- Okoa muda & nguvu
- Pokea ofa nyingi kutoka kwa wauzaji
- Linganisha bei kirahisi
- Kwepa kulipa zaidi
Kama muuzaji, NJIIMNET inakusaidia ku-:
- Pata wateja wenye uhitaji
- Uza bila kufanya matangazo
- Fikia mteja sahihi katika muda muafaka
- Jua bajeti ya wateja kabla hata hujaongea nao
- Pata wateja bure
- Chagua ulipe kamisheni au la
- Lipia kamisheni utakapouza gari tu
- Uza haraka zaidi
- Pata taarifa za muhimu za wateja kabla ya kulipia chochote
NJIIMNET unganisha moja kwa moja na wanunuzi na wauzaji wa magari, huku ikihakikisha uwazi na kurahisisha mchakato mzima.
新機能
バージョン 5.6.8 · 2026/11/21
Mapya kwenye toleo hili:
- Soma kilichoboreshwa katika kila toleo jipya kabla ya kulisakinisha.
- Tumerekebisha tatizo lililosababisha app kujifunga kwa watumiaji wa Kiswahili.
- Pakia picha na nyaraka ni kwa uhakika zaidi.
- Angalia video kwenye jarida kwa uzuri zaidi.
- Ingia kwa kutumia akaunti yako ya Google kwa usalama na ulinzi zaidi.
- Furahia NJIIMNET yenye ufanisi, kasi, na uhakika zaidi.
アプリのプライバシー
このアプリのデータの取り扱いについて、Olorok Enterprises LimitedがApp Storeで申告している内容です。
-
ユーザーに関連付けられたデータ
収集され、ユーザーの識別情報に関連付けられる場合があります。
- 連絡先情報
- ID
プライバシーの取り扱いは、ご利用の機能やお客様の年齢などに応じて異なる場合があります。
情報
- 販売元
- Olorok Enterprises Limited
- カテゴリ
- ショッピング
- バージョン
- 5.6.8
- 更新日
- 2026/11/21
- リリース
- 2025/7/15
- サイズ
- 42.3 MB
- 必要条件
- iOS 15以降
- 対象年齢
- 4+
- 価格
- 無料
- 言語
- 英語
- 著作権
- © 2024 Olorok Enterprises














